Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyu kazidMatunda Kwa Afya
😂🤣😁Uyu kazid
Siku moja moja nunua nyama, samaki, kuku nk upike hapo nyumbani. Yaani umesababisha mpaka paka anakula mapapai kweli..?Apa lazima kichapo kikali kimtembeleeeView attachment 3091576
Kuna mbuzi zipo dar na morogoro mjini izo zinakula karanga,ubuyu,ndizi,pipi,zinakunywa supu zinavuka barabara zenyewe mweee😂😂😂😂😂Hybrid paka..combination ya paka na mbuzi
Kuku zake anashindwa kuzikamata mwenyewe 🤷🏽♂️ na ziemjaa tele uyu sio askariSiku moja moja nunua nyama, samaki, kuku nk upike hapo nyumbani. Yaani umesababisha mpaka paka anakula mapapai kweli..?
Nikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.Sina maaana iyo 😂😂😂😂mkuu
Kunguru Tena hii code hiii😂😂😂Nikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.
Hivyo hata siyasubirii yafikie hatua hiyo.
Ila Ili jina lako linanikumbusha mbali sanaNikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.
Hivyo hata siyasubirii yafikie hatua hiyo.
Heee! Hongera Mkuu.Ila Ili jina lako linanikumbusha mbali sana
Kwa mungu mbele kidogo mkuuuu😂😂😂😂Heee! Hongera Mkuu.
Vipi utakubali kusema nikikuuliza huko mbali ni wapi Mkuu? 😂😂
Ooh! Sawa Mkuu. 😅Kwa mungu mbele kidogo mkuuuu😂😂😂😂
Kuna mshangaz wangu ulikua na jina hili😝😝😝😝😝
Sijui ndo wewe😂😂😂😂Ooh! Sawa Mkuu. 😅
Mie sio Mshangazi Mkuu. 🤪🤪Sijui ndo wewe😂😂😂😂
Aaah wap sio mtoto wa 2000Mie sio Mshangazi Mkuu. 🤪🤪
Mshangaz kibwagizo tu,ila alikua na jina lako ndo mana Kuna nikakumbuka mbali sanaaaaaaMie sio Mshangazi Mkuu. 🤪🤪
Ametishaaa.