Uyu kazidMatunda Kwa Afya
ππ€£πUyu kazid
Siku moja moja nunua nyama, samaki, kuku nk upike hapo nyumbani. Yaani umesababisha mpaka paka anakula mapapai kweli..?Apa lazima kichapo kikali kimtembeleeeView attachment 3091576
Kuna mbuzi zipo dar na morogoro mjini izo zinakula karanga,ubuyu,ndizi,pipi,zinakunywa supu zinavuka barabara zenyewe mweeeπππππHybrid paka..combination ya paka na mbuzi
Kuku zake anashindwa kuzikamata mwenyewe π€·π½ββοΈ na ziemjaa tele uyu sio askariSiku moja moja nunua nyama, samaki, kuku nk upike hapo nyumbani. Yaani umesababisha mpaka paka anakula mapapai kweli..?
Nikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.Sina maaana iyo ππππmkuu
Kunguru Tena hii code hiiiπππNikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.
Hivyo hata siyasubirii yafikie hatua hiyo.
Ila Ili jina lako linanikumbusha mbali sanaNikajua umemaanisha hivyo basi Mkuu. Mie huwa nawahofia kunguru huwa wana tabia ya kuyadonoa donoa yakiiva.
Hivyo hata siyasubirii yafikie hatua hiyo.
Heee! Hongera Mkuu.Ila Ili jina lako linanikumbusha mbali sana
Kwa mungu mbele kidogo mkuuuuππππHeee! Hongera Mkuu.
Vipi utakubali kusema nikikuuliza huko mbali ni wapi Mkuu? ππ
Ooh! Sawa Mkuu. πKwa mungu mbele kidogo mkuuuuππππ
Kuna mshangaz wangu ulikua na jina hiliπππππ
Sijui ndo weweππππOoh! Sawa Mkuu. π
Mie sio Mshangazi Mkuu. π€ͺπ€ͺSijui ndo weweππππ
Aaah wap sio mtoto wa 2000Mie sio Mshangazi Mkuu. π€ͺπ€ͺ
Mshangaz kibwagizo tu,ila alikua na jina lako ndo mana Kuna nikakumbuka mbali sanaaaaaaMie sio Mshangazi Mkuu. π€ͺπ€ͺ
Ametishaaa.