CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwanza kabisa nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni ya kujitolea.Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Mbowe anaishi kwa payroll ya Ccm hawawezi Kuwa sawaWewe Mbaya kweli? Unapamba visivyopambika? Kama ana hayo yote kwanini analialia kuchangiwa hela ya kununua gari la kutembelea? Ushawahi kusikia Mbowe analialia Hana hela?
Kuchangiwa chakula au gari ya kufanyia mikutano?Mbona analialia kuchangiwa?
Lissu hana chawa kwa vile hana hela ya kugawa ovyo kwa chawa kama afanyavyo Mbowe kwa hela ya ruzuku na ya Abdul.Chawa wa lissu unamjibu chawa wa mbowe kwa hasira.kwani huwezi kumjibu kistarabu.
Ni mkuu wa saccos😁Mbowe anashughuli gani kwani?
Kuna deal ya kukamata ndege za ATCL huko majuu, baada ya Tigo kushirikiana na serekali kubainika walikuwa wanamfuatilia kabla ya kupigwa risasi.
Hili deal linategemewa kumwingizia fedha nyingi sana si vile vijisenti vya Abdul.
Saccos yake inaitwaje?Ni mkuu wa saccos😁
Yeye anataka gari ya kufanyia kazi za Chama siyo ya kupigia misele.Wewe Mbaya kweli? Unapamba visivyopambika? Kama ana hayo yote kwanini analialia kuchangiwa hela ya kununua gari la kutembelea? Ushawahi kusikia Mbowe analialia Hana hela?
Nenda kamuulize😁Saccos yake inaitwaje?
Nimuulize Abdul au yule Rahisi aliyefeli form four ?Nenda kamuulize😁
Ukuadi wa mashoga na mabeberuWakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Utaamua mwenyewe😎Nimuulize Abdul au yule Rahisi aliyefeli form four ?
Kwani wewe kama wewe mpaka muda huu umeshamchangia kiasi gani?Mbona analialia kuchangiwa?
Alkyekuzidi kakuzidiUkuadi wa mashoga na mabeberu
Umemuuliza swali zuri Sana huyu MamaKwani wewe kama wewe mpaka muda huu umeshamchangia kiasi gani?
Basi kuwa makini Sana usije ukawa mbogaUtaamua mwenyewe😎
Huyo Mbowe Hela ya faini Kesi ya mauwaji ya Akwilina alichangiwa na Shujaa Magufuli na family ya Mchungaji Msigwa 😂Mbona analialia kuchangiwa?