CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwanza kabisa nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni ya kujitolea.Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
Pili Lissu ni wakili msomi na leseni yake ya uwakili iko active hivyo siyo mbangaizaji.