Apart from yourself, who else is your favorite character on JamiiForums and why?

Mdakuzi
He is the reason why am here, mengine ni ziada tu,

Akili nyingi, utayari wake wa kunisikiliza hata ujinga wangu ambao wengine wasingenipa nafasi katu...
Mwalimu wangu, amenifunza mengi na kuniongoza vyema.
Ucheshi wake ni zaidi ya yote, kila siku navunjika mbavu.

Niseme nini zaidi? He is the best friend I have ever had.
 
Oh! Asante sana kwa kutambua mchango wangu kwenye maisha yako. Ni jambo kubwa kukiri hivi hadharani.

Nami nina mengi nimefunzwa nawe kwa huu ukaribu wetu. Hasa; kushukuru na kuridhika na cha leo, na kuendelea kutafuta cha kesho. Asante sana.

Ova
 
Hivi nimeshakutaja kwenye huu uzi?πŸ˜‚

You are my all time sweet friendπŸ₯°
Jana, leo na hata milele.
Hata nakumbuka sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ka uzi kazamani kidogo haka
Page za mwanzo mwanzo panachekesha.. maisha yako race sana aisee…


woah ❀️❀️
To the moon & back 😘😘
 
Hata nakumbuka sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ka uzi kazamani kidogo haka
Page za mwanzo mwanzo panachekesha.. maisha yako race sana aisee…


woah ❀️❀️
To the moon & back 😘😘
We binti chugaπŸ˜‚πŸ˜‚, kipi kime kuchukuliwa TenaπŸ€”πŸ˜‚
 
mwanaume unakuwaje na favorite person tena mwanaume mwenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…