Haimaanishi hawa wengine siwakubali la hasha! Ila hawa nitakao wataja nawakubali kwasababu zao mbali mbali na nitazitaja hapa, nawe pia mwamba unaweza kufunguka kama itakupendeza ingawa sio lazima
Kwanza tujue maisha usiyachukulie serious all the time kwani yataboa,,,so sometime tunakuja kitofauti na kufurahia Maisha
Here we go
Wa kwanza ni
Evelyn Salt huyu nampenda kwa comment zake za kibabe,,yaan ana kauli flan ambazo zina ubabe na umwamba fulani mpaka huwa nahisi kuwa ni mwamba huyu na sio madam
Nanyamaza kimya dakika moja nampa heshima yake
Wa pili ni
Mademoiselle huyu ni baby girl,,,nilianza kuvutiwa na comment zake zenye busara na hekima ingawa siku hizi hujifanya gangstar sometime,,,na yupo smart sana,,na kupitia usmart wake kafanikiwa kuniita mimi faza wake sijui lengo lake nisiruke nae 😂😂😂
WA tatu ni
Demi huyu yupo cool sana na inaonyesha sio muongeaje sana,, i like her
Wa nne
Kalpana semaji letu wanasimba la jf,,,kwanza heshima kwake kwa dakika moja ya utulivu, i like her
Wa tano
To yeye huyu bwana nampenda kwa sababu haeleweki yaani hatabiriki,,yaan ana mambo mengi, na kumpenda huyu inabidi uwe mkomavu na muelewa sana, hutakiwi kuwa na wivu nae kabisa yaani la sivyo utakufa mapema
Na wa sita
ephen_ yupo social sana na anapenda kucheka mda wote,,,napenda watu ambao wapo social sana labda huenda kwakuwa mimi nipo hivyo pia,,,i like her
That's it for 2day
Ni hayo tu!