Kwenye maisha tunakutana na Mambo mengi yapo yenye kutufurahisha na kutuhuzunisha.
Japo Kuna baadhi ya vitu ambavyo huwa vinatupa nafasi ya kuwa watu wengine kabisa. Mfano
๐I kwangu ni jamii forums imekuwa ikinifundisha,furahisha,huzunisha na hata muda mwingine kuni habarisha kutokana na baadhi ya uwepo wa baadhi ya watu humu.
Leo nimeona niwataje baadhi ya wana jukwaa humu ambao kwa kiasi chake, huwa wanacheza nafasi kubwa kwa upande wangu.
Bro au mzee
wao ni wao huyu Jamaa ni mmoja Kati ya watu ambao jf ime tuunganisha, na nafurahia uwepo wake.
๐Tumejikuta tuna fanana na kuendana baadhi ya vitu.
๐Tumekuwa tukishauriana baadhi ya vitu ambavyo mpaka muda mwingine, nasema maybe my late dad is back. Holla master๐ช intelli got your back comrade
๐ Magic and sweet mind mdogo
Madame S, since the first day namjua, ameendelea kunishangaza juu ya upole na ucheshi wake. Ni mtoaji mzuri wa ushauri na pia ni ka mtu kakali kakiamua. Lots of love and respect to you.
team ya jf usiku wa Manane, aisee Mimi ni muhanga wa kukesha, Tena yule aliyekubuhu sio kwa ubaya ila it's just for fun . Huwa nacheck movie au hata kuangalia vipindi mbalimbali.
๐Basi katika safari hii nikakutana na lunatic wenzangu ambao ni
National Anthem,
Mzee wa kupambania,
Bantu Lady Dahan,
Mafian cartel,
Analyse,
Poor Brain,
Mwachiluwi, ambao Tumekuwa tukitaniana na kushaurina baadhi ya vitu. Oya nyie wajuba nawakubali Sana.
waandishi wa makala mbalimbali, Kuna baadhi ya waandishi ndani ya jf wamekuwa wakiandika baadhi ya articles ambazo zimekuwa ๐zikinifunza,kunijuza
๐ Habarisha
๐Fundisha
๐ Furahisha na hata kunishangaza kutokana na Visa vyao.
Leo nimeona niwataje baadhi yao ambao kwa kiasi chake, nimekuwa nikijifunza mengi kutoka kwao.
๐ Big bro
Analyse, Visa kuhusu maisha yake ni vingi, habari kuhusu hustles zake za maisha,mapenzi, mahusiano ya kifamilia. Ila yote kwa yote kudos to you.
๐
JBourne59, mzee mwenye haiba ya utofauti, msomi ambaye amekuwa akitumia baadhi ya muda wake kutujuza au kutufundisha baadhi ya Mambo aliyokutana nayo.
๐
CONTROLA, mzee wa hints zinazohusu biashara.
๐
Liverpool VPN, raisi wa chama Cha kataa ndoa. Sera zake zinafurahisha Sana.
๐Raisi wa chama Cha mkono bao na sheria ya kumwaga nje
dronedrake
๐
paschal mayalla
๐
LIKUD,
๐ Genius
Da'Vinci na habari zinazohusu mengi.
๐
SteveMollel, hutu ni legend kwani toka enzi za anga la washenzi mpaka Zama za jirani wa goba. Still hajawai flop.
๐wazee wa hip hop, team
Cannabis,
makaveli10 and others
๐ Vichaa wenzangu, hoja na habari zenu zina nifurahisha baadhi ya nyakati
Unique Flower,
mpwayungu village, and great
GENTAMYCINE,
Chizi Maarifa na mkewe
trudie lots of respect to you guys
๐Twin sisters
Antonnia na Cha ukorofii
Lovelovie Hawa wanapenda utani, wacheshi na pia ni wakorofi ukiwauzi, tatizo wakila ban utaona malalamiko yao. Ila bless be upon you friends
๐ Miss
Nuzulati, mpole, mcheshi na akikasirika ana kuwa Kama pilipili ya unga. Hanaga mambo mengi๐
๐
Mshana Jr nyuzi zake ni nyingi na baadhi Zina maarifa ya kutosha sana. Iwe kuhusu jamii au nadharia mbalimbali.
๐
Carlos The Jackal,
Team movies and series, ๐mna play role kubwa Sana, maana Kuna time nakuwa nimechoka ila mkitoa hints kuhusu movie au season basi mood yangu inaenda juu ๐ฏ
Introsagvert,
Living Pablo,
Numbisa,
Khantwe
๐Kuna Hawa wazee wa comment, ukija na hasira au umevurugwa. basi unaweza cheka bila sababu ๐ bro
Extrovert, chalii was chuga
Chaliifrancisco, mzee wa totoz
mzabzab, mzee mwenye hekima, ambae haeleweki ana wasapoti au kuwapinga wazee wa kataa ndoa great
Ushimen,
King Kong III, huyu Jamaa anajua Sana utani. Hoja au maoni yako yatakuacha hoi
Wazee wa kutoa likes, Hawa hawana baya uwe expert au new member, basi lazima wakupe shavu
mkwepu jr,
Half american and others. Kudos
Wazee wa jf sport, upinzani ni mkubwa Sana,Tumekuwa tukijadiliana ama kubishana kuhusu soka. Aisee mko wengi kuanzia team arsenal,simba Hadi yanga ๐
Castr,
hamis77, ladies
Kalpana,
Shadeeya,
Bantu Lady, great
GENTAMYCINE
And many others I appreciate your appearance here in jf, pole kwa wale wote wataokwazika kwa Mimi kuwataja. Ni kiherehere changu tu.
๐ Don't forget iam a big fan of my self
Intelligent businessman .
View attachment 2544334