Salaam mabibi na mabwana
Nawaletea hii hapa nyumba imetulia na nzuri sana ni ghorofa ndani ya geti
Sifa zake
-Tiles nyumba nzima
-madirisha ya vioo
-feni zipo ndani
-makabati standard ya jikoni
-kabati za kuhifadhi nguo chumbani
-full ac chumbani
Ni vyumba viwili vya kulala kimoja ni master bed room kingine cha kawaida hakina choo pia kuna public toilet sebule kubwa na jiko safi
Bei. Laki 6 per month
Location ni Mwenge Jirani na office za TRA
Kwa mawasiliano View attachment 924068View attachment 924069View attachment 924070