House4Rent Apartment for rent

House4Rent Apartment for rent

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Salaam mabibi na mabwana
Nawaletea hii hapa nyumba imetulia na nzuri sana ni ghorofa ndani ya geti

Sifa zake
-Tiles nyumba nzima
-madirisha ya vioo
-feni zipo ndani
-makabati standard ya jikoni
-kabati za kuhifadhi nguo chumbani
-full ac chumbani

Ni vyumba viwili vya kulala kimoja ni master bed room kingine cha kawaida hakina choo pia kuna public toilet sebule kubwa na jiko safi
Bei. Laki 6 per month
Location ni Mwenge Jirani na office za TRA
Kwa mawasiliano View attachment 924068View attachment 924069View attachment 924070
IMG-20181106-WA0011.jpg
IMG-20181106-WA0017.jpg
IMG-20181106-WA0005.jpg
IMG-20181106-WA0010.jpg
 
Mawasiliano 0655183618 uje uikague nyumba
 
Hii ni master bedroom ina kabati LA nguo ndani pamoja na Ac
IMG-20181106-WA0015.jpg
 
Hiyo kodi yake ni NET ya mshahara wangu. Na mimi ndiye boss pale ofisini. Kaaz ipo!
 
Jikoni kuna makabati ya kuhifadhi
IMG-20181106-WA0010.jpg
 
Back
Top Bottom