Apata ajali akisafiri na UNGO

Apata ajali akisafiri na UNGO

Nimechoka hapo, eti wame mpeleka hospital akapimwe km ni mzima ktk afya ya akili yake.

Sijui wamewaza nn, Lol

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ofisi kutokuwa na Camera ndio tafsiri ya uendawazimu?

We nyani wewe...
Unaona sasa ulivyo zuzu?

Uwendawazimu ni kudai unaruka/ unapaa kwa ungo halafu watu kuamini pasipo na ushahidi wowote ule.

Kamera [zinazofanya kazi]kwenye jengo la ofisi ni sehemu ya kuanzia katika mchakato wa kuthibitisha.

Ugumu wa nilichokiandika hapo uko wapi?

You are too dumb and stupid to understand even the most simplest of things!
 
Mwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin hakufanikiwa na mwishowe kuanguka katika ofisi izo za TANESCO majira ya saa9 usiku.

Duuh kumbe haya mambo yapo kabisa wakuu....sasa sijui ndege ya bidada ilipata itilafu gani au wese liliisha!
Hakuna kitu kama hicho enyi washirikina maskini msiojiweza
 
Rahisi Sana kuwadanganya waTanzania ......
Mtu anaweza kupotosha umma kwa manufaa yake na anayojua mwenyewe ......na watu wakaamini bila kufanya tafiti yoyote Ile ........

Inshort hakuna uhusiano kati ya kuanguka sijui uchawi na huyo Binti ....Kila Mmoja afatilie kwa namna yake kuthibitisha.
 
Kwahyo unataka kuleta ubishi na wakat jambo liko wazi?!! na apo bidada kastiriwa na kanga baada ya kukutwa na raia kama wote mtupuu(uchi wa mnyama) kweny ofisi za TANESCO.
Mbona kuna watu mnadanganyika kirahidi namna hii?
 
Back
Top Bottom