[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwendawazimu ni janga kubwa sana Tanzania!
Hiyo ofisis haina kamera tuuone huo ungo huku yeye akidondoka?
Nadhani ofisi nyingi za serikali na taasisi zina kaulinzi fulani hiviTuseme alipoanguka zindiko lake ni kali.
Kwa hiyo ofisi kutokuwa na Camera ndio tafsiri ya uendawazimu?Uwendawazimu ni janga kubwa sana Tanzania!
Hiyo ofisis haina kamera tuuone huo ungo huku yeye akidondoka?
Unaona sasa ulivyo zuzu?Kwa hiyo ofisi kutokuwa na Camera ndio tafsiri ya uendawazimu?
We nyani wewe...
Hata mimi wamenishangaza sana!!Nimechoka hapo, eti wame mpeleka hospital akapimwe km ni mzima ktk afya ya akili yake.
Sijui wamewaza nn, Lol
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
huamini nini? au we nitahira?Siamini
huamini nini? au we nitahira?Siamini
Hakuna kitu kama hicho enyi washirikina maskini msiojiwezaMwanamke mmoja amekutwa akiwa mtupu katika ofisi za TANESCO manispaa ya songea mkoani Ruvuma, mwanamke huyo inadaiwa alikua akisafiri kwa UNGO akitokea mkoani Mtwara na akielekea Nyasa lakin hakufanikiwa na mwishowe kuanguka katika ofisi izo za TANESCO majira ya saa9 usiku.
Duuh kumbe haya mambo yapo kabisa wakuu....sasa sijui ndege ya bidada ilipata itilafu gani au wese liliisha!
Halafu sasa maskini ndo mashabiki wakubwa wa mambo ya ijingaHakuna kitu kama hicho enyi washirikina maskini msiojiweza
Mbona kuna watu mnadanganyika kirahidi namna hii?Kwahyo unataka kuleta ubishi na wakat jambo liko wazi?!! na apo bidada kastiriwa na kanga baada ya kukutwa na raia kama wote mtupuu(uchi wa mnyama) kweny ofisi za TANESCO.