Kishkwambi maana yake nini hasa?
Kishkwambi maana yake nini hasa?
pamoja sana Marnah usikose iyo May mosi tukijaaliwa uhali!!😅😆zari mzuri jaman lol Mungu anaumba maana hapo kazaa 3 alieko tumboni wa4 lakn utadhani ni kabint ka miaka 17 vile
hongera zao na watakia kila jema
huyu ameshafika mkuu@sasha7 kwasasa katulia tulii hana makeke tena mtoto wa kiganda kashamtuliza!!aisee sasa Diamond atulie jaman lol maana kuoa si jambo dogo by the nampa hongera zake si mchezo!
loveleen kakujibu vyema kabisa iyo ndio maana halisi ya neno "Kishkwambi "
Kwa kuongeza tu ni kwamba siku zote;
Lugha husharabu kwa maana ya kwamba huchukua maneno kutoka Lugha nyingine ili kujiongeza zaidi.
Ivyo basi Neno "Kishkwambi" lina maanisha kijanja zaidi au kisasa zaidi utakuta mtu anasema yaani ####Kishkwambi flani ivi amaizing####
Yes haitopata wahudhuriaji😷Sasa labda niulize, kwanini mnataka kupotosha kuwa Mondi na zari wamefunga ndoa na kuwa pete ya ndoa atavishwa may mosi! Kwani msiposhadadia ndoa iyo white party haitapata wahidhuriaji au?
Twaisubiriii h iyo tarehe 1
congratulation mond & zari
Yes haitopata wahudhuriaji😷
Tuombe uzima tu😊maana ni checheeeee
Kishkwambi maana yake nini hasa?