Haya sasa Diamond Platnumz kumtambulisha rasmi mkewe Zari thebosslady walofunga ndoa kimya kimya ndani ya iyo tar bidada murembo mixer Ugandan na ile rangi ya kishombe shombe Zari thebosslady atavishwa rasmi Pete ya ndoa
Hahahahhahaa......ni checheeeee yaan.......
Kishkwambi Flani ivi amaizing
Pata picha kamili ya Zari akisisitiza pamoja na Diamond wakisema mmeshaona picha na mmeshaskia story sasa habari kamili tar 1 May
Tuanze kuzichanga mapemaaaaa maana #kishanuka #
Cheki mapicha chini👇👇