Apendapo Mwenyezi Mungu tarehe 1.5.2015, save the Date, KIMENUKA

Watu wana mambo? Hivi mimi nikatoe pesa zangu kisa naenda kushuhudia Zari anavikwa pete na Diamond!
Labda hizo pesa ziwe hazina kazi na mimi pia niwe sina kazi.

Save the date bhana nawe mbona mbishiii!
 
akioa mwingine mwanamke alomzidi miaka japo 7 tu mtachonga hapa hadi koo likauke huyo sio siga mamyy au wanaume nao wakiona pesa siku hivi memory inajiformat automatically. pesa sabun ya roho
 
akioa mwingine mwanamke alomzidi miaka japo 7 tu mtachonga hapa hadi koo likauke huyo sio siga mamyy au wanaume nao wakiona pesa siku hivi memory inajiformat automatically. pesa sabun ya roho

Hahahah pamoja mkuu........!!!!!!
 
akioa mwingine mwanamke alomzidi miaka japo 7 tu mtachonga hapa hadi koo likauke huyo sio siga mamyy au wanaume nao wakiona pesa siku hivi memory inajiformat automatically. pesa sabun ya roho

Skiliza mwaj waukweli...Zari ni mkubwa kwa Diamond ila kajua kujitunza yule mwanamke hadi anaonekana mbichiiii.
Huwezi kuamini ni mkubwa kwake tofauti na mijimama mingine inayojiachia hadi aibu maana wanaonekana kama mama na mwanae.
 
Last edited by a moderator:
Acha kabisa urembo una raha sana.Ndio maana wanawake wengi warembo huwezi kuwakuta katika professionals ngumu kama udaktari, uinjinia n.k
Ila wabaya wanakazaje jamani?..lol

Hahahah leo hii Zari angekuwa wa hivyo hivyo tu, nani angetaka hata kwenda kuona anaveshwa pete?
 
Hahahah leo hii Zari angekuwa wa hivyo hivyo tu, nani angetaka hata kwenda kuona anaveshwa pete?

Acha tu.Ila mjini hapa watu wanavyopenda umbea usishangae hii event ikavunja rekodi ya Diamonds are forever!
 
Ukisoma vizuri alama katika A kaweka alama ya kuuliza (?), so hakusema kama haitapata watu, ila ameuliza tu.
Ova

Nashukuru kwa kuliona hilo.Seems hajui haina ya sentensi.Hajui question wala statement.
 
Bora tu hiyo tarehe moja ifike maana watu tumekalia tako moja tunasubiri umbea,roho inaniruka mpaka!kweli umbea ugonjwa looh
 
Hii ndoa au investment? Au both? To what degree?
 
Nashukuru kwa kuliona hilo.Seems hajui haina ya sentensi.Hajui question wala statement.

u act like u know everything while u know nothing..who teaches u that there is two type's of sentences?????......hahahahaaa

for your information there is four type's of sentences;

1)Statement sentences
2)Request sentences
3)Command sentences &
4)Question sentences

Oooooops.......one more thing

Eti hajui haina ya sentensi sio haina ndugu unapaswa kusema "Aina" natumai umenielewa ndugu
##kiroho safi##

pamoja saana.
 
Bora tu hiyo tarehe moja ifike maana watu tumekalia tako moja tunasubiri umbea,roho inaniruka mpaka!kweli umbea ugonjwa looh

umeona eeh......yaan sio wewe tu tuko wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…