Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Ujifunze swaggaz za kicelebrity
Hebu nitokee hapa.Nimekuona kule siasani unapewa vyako naona umekimbilia huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujifunze swaggaz za kicelebrity
Ni kweli kabisa. Yaani umeifunga rasmi thread kwa maneno machache tu.
Ova
Watu wana mambo? Hivi mimi nikatoe pesa zangu kisa naenda kushuhudia Zari anavikwa pete na Diamond!
Labda hizo pesa ziwe hazina kazi na mimi pia niwe sina kazi.
Ukisoma vizuri alama katika A kaweka alama ya kuuliza (?), so hakusema kama haitapata watu, ila ameuliza tu.
Ova
akioa mwingine mwanamke alomzidi miaka japo 7 tu mtachonga hapa hadi koo likauke huyo sio siga mamyy au wanaume nao wakiona pesa siku hivi memory inajiformat automatically. pesa sabun ya roho
Save the date bhana nawe mbona mbishiii!
akioa mwingine mwanamke alomzidi miaka japo 7 tu mtachonga hapa hadi koo likauke huyo sio siga mamyy au wanaume nao wakiona pesa siku hivi memory inajiformat automatically. pesa sabun ya roho
Acha kabisa urembo una raha sana.Ndio maana wanawake wengi warembo huwezi kuwakuta katika professionals ngumu kama udaktari, uinjinia n.k
Ila wabaya wanakazaje jamani?..lol
Hahahah leo hii Zari angekuwa wa hivyo hivyo tu, nani angetaka hata kwenda kuona anaveshwa pete?
A na B yote sawa👀
Ukisoma vizuri alama katika A kaweka alama ya kuuliza (?), so hakusema kama haitapata watu, ila ameuliza tu.
Ova
Nashukuru kwa kuliona hilo.Seems hajui haina ya sentensi.Hajui question wala statement.
Bora tu hiyo tarehe moja ifike maana watu tumekalia tako moja tunasubiri umbea,roho inaniruka mpaka!kweli umbea ugonjwa looh
Kasuku ww
Hii ndoa au investment? Au both? To what degree?
##Ndoa##