Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Skiliza mwaj waukweli...Zari ni mkubwa kwa Diamond ila kajua kujitunza yule mwanamke hadi anaonekana mbichiiii.
Huwezi kuamini ni mkubwa kwake tofauti na mijimama mingine inayojiachia hadi aibu maana wanaonekana kama mama na mwanae.
soo ishu nikujitunza tu. muache kumsema nuhu wawatu sasa maana wako poa tu
Acha kabisa urembo una raha sana.Ndio maana wanawake wengi warembo huwezi kuwakuta katika professionals ngumu kama udaktari, uinjinia n.k
Ila wabaya wanakazaje jamani?..lol
u act like u know everything while u know nothing..who teaches u that there is two type's of sentences?????......hahahahaaa
for your information there is four type's of sentences;
1)Statement sentences
2)Request sentences
3)Command sentences &
4)Question sentences
Oooooops.......one more thing
Eti hajui haina ya sentensi sio haina ndugu unapaswa kusema "Aina" natumai umenielewa ndugu
##kiroho safi##
pamoja saana.
Hahahahhahaa......ndege wa aina moja siku zote huruka pamoja yawezekana kwa asilimia 100% nawe ni kasuku au una chembe chembe za ukasuku
Huenda ukawa unafahamu ama hufahamu
Shukrani ndugu ata ivo nampenda sana ndege ##kasuku##
Pamoja saana
Heeee! Kwema lakini?Nimejaribu kukuelewesha kiroho safi halafu unanigeuzia kibao tena.
Ww kasuku ebu niondolee utoto wako hapa.
Nliongelea izo typie mbili ndizo zilizokua concerned.I asked then u treated it like a statement au info.
Mxiiiu kukariri tu.And yea if kuuliza means I knw everything I bet uv never met the proffesors.
#KASUKU WEWE
Ww kasuku ebu niondolee utoto wako hapa.
Nliongelea izo typie mbili ndizo zilizokua concerned.I asked then u treated it like a statement au info.
Mxiiiu kukariri tu.And yea if kuuliza means I knw everything I bet uv never met the proffesors.
#KASUKU WEWE
Skiliza mwaj waukweli...Zari ni mkubwa kwa Diamond ila kajua kujitunza yule mwanamke hadi anaonekana mbichiiii.
Huwezi kuamini ni mkubwa kwake tofauti na mijimama mingine inayojiachia hadi aibu maana wanaonekana kama mama na mwanae.
calm down babyyy...!
Kwa heshima yako namwacha huyo kasuku achonge akichoka akakojoe alale.
u act like u know everything while u know nothing..who teaches u that there is two type's of sentences?????......hahahahaaa
for your information there is four type's of sentences;
1)Statement sentences
2)Request sentences
3)Command sentences &
4)Question sentences
Oooooops.......one more thing
Eti hajui haina ya sentensi sio haina ndugu unapaswa kusema "Aina" natumai umenielewa ndugu
##kiroho safi##
pamoja saana.
Hahahahhahaa......ndege wa aina moja siku zote huruka pamoja yawezekana kwa asilimia 100% nawe ni kasuku au una chembe chembe za ukasuku
Huenda ukawa unafahamu ama hufahamu
Shukrani ndugu ata ivo nampenda sana ndege ##kasuku##
Pamoja saana
Duh ..... hahahaaaaaaaa usipokaza nani atakupa hata ya soda????