Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Skiliza mwaj waukweli...Zari ni mkubwa kwa Diamond ila kajua kujitunza yule mwanamke hadi anaonekana mbichiiii.
Huwezi kuamini ni mkubwa kwake tofauti na mijimama mingine inayojiachia hadi aibu maana wanaonekana kama mama na mwanae.
soo ishu nikujitunza tu. muache kumsema nuhu wawatu sasa maana wako poa tu
Last edited by a moderator: