Apetizer!!

Shukrani amu
 
Last edited by a moderator:
hivi unavijua visra???
jamani nimevimiss sana sana sijui kuvipika ingawa mama yangu huwa anatupikiaga na nizamani sana. nitafutie recipe yake ningeshukuru sana.
mchaga visra umevijulia wapi?hiko chakula ni cha wasudan na wasomali.
Anyway si recipe tatizo chuma cha kupikia kisra utakitoa wapi?ukikipata niite nikupikie ulikosa vile vile naweza kukuazima au nikakuelekeza sehemu wakakutengenezea
 
mmmmh odo wanipaje raha unavopenda na kujua kupika!
 
amu hii appetizer tunaweza kuinywea na bia..sijui inanyweka? ushamba huu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
amu uuuwiiii napendaje mabiringanya mie........kuna siku nikapata yanawasha nilinuna!!!

sasa hapo kitunguu saumu mbona hujaonesha umekitumia wapi na vipi?
 
swaumu unatwanga na pilipili,kisha ukishatwanga utachanganya na ndimu au limao ndo unamwagia kwenye biringanya juu.
Sasa hapo shosti jaribu loo umekuwa makini
 
Last edited by a moderator:
mchaga visra umevijulia wapi?hiko chakula ni cha wasudan na wasomali.
Anyway si recipe tatizo chuma cha kupikia kisra utakitoa wapi?ukikipata niite nikupikie ulikosa vile vile naweza kukuazima au nikakuelekeza sehemu wakakutengenezea

basi hujui maa yangu ni MNUBI na hiki ni chakula chao.
zamani tulipokuwa tunakwenda kwa bibi yetu mzaa mama alikuwa anatupikia hii menu.
najua chuma nitakipata kwa mama
 
basi hujui maa yangu ni MNUBI na hiki ni chakula chao.
zamani tulipokuwa tunakwenda kwa bibi yetu mzaa mama alikuwa anatupikia hii menu.
n
aju
a chuma nitakipata kwa mama

damu ya kinubi?aisee hongera sana damu za kinubi si mchezo!!
Ukipata chuma nitakuwekea recipe karibu as a family tradition kila jumapili tunapika visra,mchuzi wa nyama uliochanganywa na mchicha ukaungwa na nazi,na maharage.
Na ugali kidogo kuna wawili hawapendi kisa
 
noja nitafute chuma na nikipata nitakuita uje unipikie hapa nyumban kwangu nile na wanagu.
 
no problem mimi na wewe tena sema kingine bt anza kugandisha ubongo wa ng'ombe kabisa ukutani
 
Acha kunifanya mate yanitoke hapa ofisini besti mbona inakuwa tamu hiyyo nikifika home nitaenda kupika nione radha yake asante bestito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…