Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani amumahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu
jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi
changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @
ahahahahhahahah haya mambo ya kukumbushana kesi za THe hague sio mazuri!
LIONE!
mchaga visra umevijulia wapi?hiko chakula ni cha wasudan na wasomali.hivi unavijua visra???
jamani nimevimiss sana sana sijui kuvipika ingawa mama yangu huwa anatupikiaga na nizamani sana. nitafutie recipe yake ningeshukuru sana.
mmmmh odo wanipaje raha unavopenda na kujua kupika!mchaga visra umevijulia wapi?hiko chakula ni cha wasudan na wasomali.
Anyway si recipe tatizo chuma cha kupikia kisra utakitoa wapi?ukikipata niite nikupikie ulikosa vile vile naweza kukuazima au nikakuelekeza sehemu wakakutengenezea
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu
jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi
changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @
odo mapishi ya dadako hayo si unajua cha kurithi kinakuwaga mara mbili
swaumu unatwanga na pilipili,kisha ukishatwanga utachanganya na ndimu au limao ndo unamwagia kwenye biringanya juu.amu uuuwiiii napendaje mabiringanya mie........kuna siku nikapata yanawasha nilinuna!!!
sasa hapo kitunguu saumu mbona hujaonesha umekitumia wapi na vipi?
mchaga visra umevijulia wapi?hiko chakula ni cha wasudan na wasomali.
Anyway si recipe tatizo chuma cha kupikia kisra utakitoa wapi?ukikipata niite nikupikie ulikosa vile vile naweza kukuazima au nikakuelekeza sehemu wakakutengenezea
yani mi jikoni uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwih natamani niweke na kitanda humo humo!
basi hujui maa yangu ni MNUBI na hiki ni chakula chao.
zamani tulipokuwa tunakwenda kwa bibi yetu mzaa mama alikuwa anatupikia hii menu.
n
aju
a chuma nitakipata kwa mama
noja nitafute chuma na nikipata nitakuita uje unipikie hapa nyumban kwangu nile na wanagu.damu ya kinubi?aisee hongera sana damu za kinubi si mchezo!!
Ukipata chuma nitakuwekea recipe karibu as a family tradition kila jumapili tunapika visra,mchuzi wa nyama uliochanganywa na mchicha ukaungwa na nazi,na maharage.
Na ugali kidogo kuna wawili hawapendi kisa
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu
jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices
ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi
changanya,kisha washa jika weka mafuta size kama vile unakaanga samaki au maandazi kisha mafuta yakipata moto weka biringanya kaanga mpaka zikiwa za brown kisha ipua weka kwenye chujio la nazi ili uchuje mafuta kisha chukua pilipili kidogo uliyotwanga changanya na ndimu kisha mwagia juu ya biringanya
Save mezani utalia na ugali na mboga yoyote,wali,pilau(hapa inanoga zaidi ) ↲
cc snowhite gfsonwin shansarie Mamndenyi Zahra White Madame B Kijino Heaven on earth charminglady YNNAH arabella Kaizer watu8 mimi49 Paloma ladyfurahia mimisa ladydoctor @
leo oda imeongezeka wanataka na maamri haya kazi unayo mi simoooo!!!