Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio dawa inanunuliwa kwa control number..Dawa inanunuliwa kwa control number?
Kifupi tu wabongo sio watu wa kujali, hapo unaweza kuta jamaa alikuwa anaforce kuingia hata Kama hakuruhusiwa
Pale ni kwenye gate au hosiptal ya umma? mimi namiliki bomba na vibali vyake ukileta upimbi nakuua bila kukusudia hata hivyo jamaa muungwana sananenda kajifanye unayumba kwenye gate lolote.
landa uwe unaziweza nawewe,ila kuchakaa utachakaa.
hospital ya uma ina reg nzito kuliko gate la mtu kama hujui.hiyo bomba nani anakuruhusu uingie nayo hospital??Pale ni kwenye gate au hosiptal ya umma? mimi namiliki bomba na vibali vyake ukileta upimbi nakuua bila kukusudia hata hivyo jamaa muungwana sana
Mkuu wao kaomba msamaha na uyo mlinz wako kaomba msamaha jamaa kiroho safi hajataka kumuharibia kibarua chake uyo mbeba rungu sasa wewe endelea kutetea ungiri wakat wenzio wamejutia na wamesamehewahospital ya uma ina reg nzito kuliko gate la mtu kama hujui.hiyo bomba nani anakuruhusu uingie nayo hospital??
ndio maana kuna mtu amesema maoni kutoka kwa askari ni muhimu,maana mpaka jamaa kanywea na anaonewa kuna shida sehemu.
kwani kuomba msamaha ni shilingi ngapi??Mkuu wao kaomba msamaha na uyo mlinz wako kaomba msamaha jamaa kiroho safi hajataka kumuharibia kibarua chake uyo mbeba rungu sasa wewe endelea kutetea ungiri wakat wenzio wamejutia na wamesamehewa
Mimi ninavyojijua lazima ningemrudia ..tumalizane asee hii dunia ukiwa mwema usifikiri utafanyiwa wema, Jino kwa jino.Huyo anayepigwa alitakiwa angevunja pumb* za huyo mlinzi.
Yaani wanipige halafu hata mmoja nisimtoe damu haiwezekani labda wangeniulia hapohapo.
Mkubwa wenu wa lindo brigedia wa jeshi la sungusungukwani kuomba msamaha ni shilingi ngapi??
maana mtu anawezatembea na mkeo akaomba msamaha pia.
mkuu wangu ni nani huyo aliyepigwa au??
aisee.Mkubwa wenu wa lindo brigedia wa jeshi la sungusungu
Wewe umekosa cha kuandika ndiyo maana umeshupalia huo upuuzi.
Unashangaa watu waliopewa mamlaka ya kufanya kazi hiyo?? Kama wasingepewa mamlaka hapo ndipo ungehoji na ningekuona wa maana sana.
Unasema jambo hilo ni aibu kwa Africa!!?, wewe umeiona aibu ya Kenya duniani??!
Ukabila ni aibu ya Kenya duniani, huo ukabila wenu ulisababisha watoto Yatima kulelewa na mbwa, kwani haiingii akilini kwa mwenye akili isemwe kwamba Kenya nzima alikosekana mwanamke wa kuwanyonyesha hao watoto.
Ukabila ndiyo aibu ya dunia inayowatafuna hadi mnashindwa kunyonyesha mayatima, mnashindwa ukarimu na Mbwa??!🤣🤣
View attachment 1684157
Kwa kigezo chochote hao walinzi hawatakiwi kuwa hapo.Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo...
Sjui shida ni Ugumu wa Maisha hapo ni fumbo aiseeDepo sio kuzuri wakitoka waende kwanza kwa wataalamu wa saikolojia watulie
Daah akili tu hazipo sawaaSjui shida ni Ugumu wa Maisha hapo ni fumbo aisee