Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

Apigwa na askari hospitalini akisubiri kununua dawa za mama yake mzazi katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga

Tatizo hao wanakuwaga na stress
Na ili wa overcome stress zao wanazihamishia
Kwa watu wengine

Ova
 
Dawa inanunuliwa kwa control number?
Kifupi tu wabongo sio watu wa kujali, hapo unaweza kuta jamaa alikuwa anaforce kuingia hata Kama hakuruhusiwa
Ndio dawa inanunuliwa kwa control number..
Kama unanunua dawa kwenye duka la hosp inabidi dawa itumwe kwenye mfumo then ndio unaweza kulipia ukaipata.

Halafu hata kama jamaa anamakosa lakini kotendo cha kumpiga vile sio sahihi.
 
nenda kajifanye unayumba kwenye gate lolote.
landa uwe unaziweza nawewe,ila kuchakaa utachakaa.
Pale ni kwenye gate au hosiptal ya umma? mimi namiliki bomba na vibali vyake ukileta upimbi nakuua bila kukusudia hata hivyo jamaa muungwana sana
 
Hawa jamaa wa suma wanajikutaga wajeda yaani.. kitu kidogo cha kutumia busara na akili wao wanataka kutumia muscle.
 
Pale ni kwenye gate au hosiptal ya umma? mimi namiliki bomba na vibali vyake ukileta upimbi nakuua bila kukusudia hata hivyo jamaa muungwana sana
hospital ya uma ina reg nzito kuliko gate la mtu kama hujui.hiyo bomba nani anakuruhusu uingie nayo hospital??

ndio maana kuna mtu amesema maoni kutoka kwa askari ni muhimu,maana mpaka jamaa kanywea na anaonewa kuna shida sehemu.
 
hospital ya uma ina reg nzito kuliko gate la mtu kama hujui.hiyo bomba nani anakuruhusu uingie nayo hospital??

ndio maana kuna mtu amesema maoni kutoka kwa askari ni muhimu,maana mpaka jamaa kanywea na anaonewa kuna shida sehemu.
Mkuu wao kaomba msamaha na uyo mlinz wako kaomba msamaha jamaa kiroho safi hajataka kumuharibia kibarua chake uyo mbeba rungu sasa wewe endelea kutetea ungiri wakat wenzio wamejutia na wamesamehewa
 
Mkuu wao kaomba msamaha na uyo mlinz wako kaomba msamaha jamaa kiroho safi hajataka kumuharibia kibarua chake uyo mbeba rungu sasa wewe endelea kutetea ungiri wakat wenzio wamejutia na wamesamehewa
kwani kuomba msamaha ni shilingi ngapi??

maana mtu anawezatembea na mkeo akaomba msamaha pia.

mkuu wangu ni nani huyo aliyepigwa au??
 
Huyo anayepigwa alitakiwa angevunja pumb* za huyo mlinzi.
Yaani wanipige halafu hata mmoja nisimtoe damu haiwezekani labda wangeniulia hapohapo.
Mimi ninavyojijua lazima ningemrudia ..tumalizane asee hii dunia ukiwa mwema usifikiri utafanyiwa wema, Jino kwa jino.
 
kwani kuomba msamaha ni shilingi ngapi??

maana mtu anawezatembea na mkeo akaomba msamaha pia.

mkuu wangu ni nani huyo aliyepigwa au??
Mkubwa wenu wa lindo brigedia wa jeshi la sungusungu
 
Wewe umekosa cha kuandika ndiyo maana umeshupalia huo upuuzi.

Unashangaa watu waliopewa mamlaka ya kufanya kazi hiyo?? Kama wasingepewa mamlaka hapo ndipo ungehoji na ningekuona wa maana sana.

Unasema jambo hilo ni aibu kwa Africa!!?, wewe umeiona aibu ya Kenya duniani??!

Ukabila ni aibu ya Kenya duniani, huo ukabila wenu ulisababisha watoto Yatima kulelewa na mbwa, kwani haiingii akilini kwa mwenye akili isemwe kwamba Kenya nzima alikosekana mwanamke wa kuwanyonyesha hao watoto.

Ukabila ndiyo aibu ya dunia inayowatafuna hadi mnashindwa kunyonyesha mayatima, mnashindwa ukarimu na Mbwa??!🤣🤣

View attachment 1684157

Halafu desturi ya kucharazwa viboko huko kume kitu cha kawaida yaani hadi walimu hulazwa chini na MaDC tena mbele ya wanafunzi, hebu ona hizi taarifa hadi hurum bana Walimu wacharazwa bakora tena, mbele ya wanafunzi wao!!
 
Kipande kifupi cha video tulichotumiwa na Lydia Lefi, Mkazi wa Shinyanga cha tukio la Walinzi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga kumchapa mikanda kijana ambaye amedai ni mdogo wake kwa kosa la kupitiliza muda wa kuona wagojwa katika hospitali hiyo...
Kwa kigezo chochote hao walinzi hawatakiwi kuwa hapo.
Na hili ni kosa la jinai?
Dorothy Gwajima upo hapo?
 
Usikimbilie tu kuhukumu upande mmoja jiulize pia huyo alipigwa nae alifanyaje pengine alitoa lugha chafu na kupigana ila siungi mkono walinzi kupiga watu wote tufate sheria na taratibu
 
Hii nchi kila mahali ni kupigwa tu,
Sasa itakuwaje.
 
Ofisi ya Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga ikiongozwa na Kaimu mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo Luzila Boshe imelaani kitendo kilichotokea Tarehe 21 january 2021.Na kuahidi kutoa Tamko la tukio hilo kwa siku chache zijazo.

Nilibahatika kuongea na Dada wa mhanga wa tukio hilo Lydia Lefi aishiye kata ya Ndembezi Mjini shinyanga.
Alisema kwamba kaka yake Daudi lefi (Mkazi wa Mjini Shinyanga) ameshambuliwa na walinzi wa Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga (SUMA JKT) wanaodaiwa kumtaka aondoke wodini kwamba muda wa kusalimia wagonjwa umeisha ili hali akisubiri kupatiwa gharama za dawa kwa ajili ya mgonjwa wake.

Aliendelea kusimulia kwamba wao Walifika Hospitalini hapo baada ya mama yao mzazi Kuugua na kupatiwa huduma ya kulazwa katika hospitali hiyo,Katika jitihada za kuokoa maisha ya Mama yao Daktari aliwaandikia dawa na kupatiwa control namba ili kulipia kwa ajili ya kupatiwa dawa hizo,kutokana na Mtandao kuwa mbovu control number waliyopewa ilishindwa kufanya kazi,Hivyo iliwalazimu kurudi kwa Daktari kuandikiwa control number mpya.

Baada ya kurudi kule lydia Lefi amesema kuwa walinzi hao walidhani kaka yake amefika muda huo huo hospitalini wakati yeye alikuwa amefika hospitalini hapo muda mrefu lakini Computer za Hospitali zikawa hazisomi jina la mgonjwa wake wakati anataka kununua dawa.
Baada ya kumuona Askari hao walimtoa kwa nguvu licha kujieleza vizuri kuwa alitaka kupatiwa control number ya Mgonjwa wake.Baada ya kukataa kutoka Askari hao walianza kumshambulia kwa ngumi na Mikanda Kaka huyo.

Baadhi ya wagonjwa na watu wanaouguza wagonjwa wameeleza kusikitishwa na kitendo cha walinzi hao kumpiga ngumi na mkanda na kuongeza kuwa baadhi ya walinzi katika hospitali hiyo wana lugha mbaya na wanatumia ubabe hawaangalii utu.
Gusa link Kuangalia Video ya Baadhi ya matukio..
 
Back
Top Bottom