Apostle Bushiri amkaanga vibaya Mchungaji Hananja: kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, unatoa ushauri wa Kipumbavu!

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia zake, akiwashutumu baadhi ya viongozi wa dini kwa kushindana na kupigana mbele ya watawala huku wakigeuka 'Chawa' wa kisiasa badala ya kusimamia ukweli wa kiroho.

Apostle Bushiri alisema:

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Yupo sahihi.
Ananja amekuwa mpumbavu kwa hili.

Sijaona kosa la viongoziwa dini kusimamia ukweli na kuusema.
Maana hata maandiko matakatifu yamesema moja ya amri kuu ya Mungu ni USIUE. nyingine USIMUSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO.

Kama kiongozi wa dini unatakiwa uuseme ukweli na sio uchawa.
Zuia mauaji kwa namna yoyote ile.

Mungu akubaliki bushiri.
Na kama wengine hawawezi kusema basi wakae kimya.
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na matamko

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

View attachment 3376437Yule mchungaji wa kkkt mstaafu ni mpumhavu​
 
Hananja amepewa eneo kubwa Sana kibaha Kwaajili ya ujenzi wa kituo cha sober house pamoja kituo cha watoto yatima huku akiwa hana pesa ya kuendesha hayo yote....lazima awe chawa Tu ili apate misaada serikalini
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Sasa itakuwaje
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia zake, akiwashutumu baadhi ya viongozi wa dini kwa kushindana na kupigana mbele ya watawala huku wakigeuka 'Chawa' wa kisiasa badala ya kusimamia ukweli wa kiroho.

Apostle Bushiri alisema:

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Bushiri na wewe chawa upande ule mwingine
 
Hii nchi ni kwamba una njaa kiasi gani au unataka kulinda mambo yako kwa ukubwa upi. Kwa Mchungaji Hananja, kwanza kishastaafu, pili kichwa kile kishavurugwa sana. Kishafanya yote ya dunia, sasa hivi yuko kutega chochote mwenye nacho aweze kubaki na lifestyle aliyonayo sasa.

Anahitaji kusaidiwa kwaajili ya watu walioacha kutumia madawa n.k. Kwahiyo ukiona mtu ambaye ni kwa uchungu tu, anaamua kutetea Watanzania ni wa kumheshimu sana. Wengi watakandamiza Wananchi, wawe na wakandamizaji ili yake yamuendee.
 
Back
Top Bottom