Apostle Bushiri amkaanga vibaya Mchungaji Hananja: kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, unatoa ushauri wa Kipumbavu!

hananja ni huni tu hakuna mchungaji pale,asaidiwe kwa hasara ya jamii.
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia zake, akiwashutumu baadhi ya viongozi wa dini kwa kushindana na kupigana mbele ya watawala huku wakigeuka 'Chawa' wa kisiasa badala ya kusimamia ukweli wa kiroho.

Apostle Bushiri alisema:

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Huyu anaitwa Bushiri siku hizi?
 
Hananja na Tarimba mbunge Kinondoni ni ma partner kwenye manufaa ya biashara ya unga.
Lazima ainuke kutetea ugali wake.
Kanisani Lutheran alitupiwa virago maana hana sifa za kuwa mchungaji wa kondoo.
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia zake, akiwashutumu baadhi ya viongozi wa dini kwa kushindana na kupigana mbele ya watawala huku wakigeuka 'Chawa' wa kisiasa badala ya kusimamia ukweli wa kiroho.

Apostle Bushiri alisema:

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Nabii Mtelemwa abarikiwe sana.
 
Nilikuwa napenda kumsikiliza Mch. Hanaja hasa jinsi alivyokariri vifungu vya biblia hasa habari za Sulemani, lakini kwa ushauri wake kuliumiza Kanisa la Gwajima na watu wake, it was hopeless. Nimejikuta namfuta kabisa kweli orodha ya wachungaji. Zile roho zote maelefu zikikosa neno la Mungu atazipeleka wapi? Au ndio anataka wawe mateja awajumuishe kwenye vituo vyake vya kulea mateja?

Kwa kweli anapaswa atoke hadharani na kuomba radhi Kanisa la Mungu. Ameshindwa hata wasiomuamini Kristo, dah. Niliona clip moja ya Shekhe mmoja hadi machozi yalinitoka. Why wewe Hananja unayeimba jina Kristo Yesu unakuwa na roho ya namna hiyo.
 
Apostle Mtalemwa Bushiri akiwa kwenye Ibada alikuwa na haya ya kusema kufuatia Kanisa la Askofu Gwajima kufungiwa na Mamlaka.

Soma: Mchungaji Hananja achukizwa na kauli ya Askofu Gwajima kumwita Mbunge wa kinondoni Abbas Tarimba "Ponjoro"

Akizungumza mbele ya waumini, Bushiri hakuficha hisia zake, akiwashutumu baadhi ya viongozi wa dini kwa kushindana na kupigana mbele ya watawala huku wakigeuka 'Chawa' wa kisiasa badala ya kusimamia ukweli wa kiroho.

Apostle Bushiri alisema:

"Sasa mbaya zaidi mtumishi anapokuwa Chawa, Imagine kiongozi wa Dini anakuwa Chawa, kiongozi wa Kiroho Chawa kwa Mfalme, yaani sisi tupigane sisi kwa sisi?"

"Inawezekana mwingine asitoe Kofi, lakini akatoa Kofi la maneno, Watumishi wa Mungu wanapigana mbele ya Mfalme! Aibu gani iliyoje?"

"Tuachane na kupigana, ushauri gani unatoa, ni wakipumbavu! Fungia wote. Narudia tena ufungwe pumzi yako"

"Ni heri Kanisa likapona lakini wewe mmoja uondoke, unasimamaje na kusema watu wote, watoto wadogo....eti funga funga. Nilifikiei unaenda pale kusema maneno ya Hekima..Zedekia mkubwa wewe!"

Bushiri huyu tapeli?
 
Nilijua Bushiri yule wa Nigeria, kumbe ni Bushiri wa Kiponjoro
 
Huyu naona naye ana hamu ya kuanza kusali nje ya kanisa....
 
Back
Top Bottom