Apostle Fadhili Kemuel: Ni laana kumtukana rais wa nchi

Apostle Fadhili Kemuel: Ni laana kumtukana rais wa nchi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hekima ni ulinzi

Usiruhusu itikadi Yako ikufanye kukosa adabu. Usimtukane RAIS wa nchi.
Hekima ni ulinzi"- Apostle Fadhili Kemuel

 
Hekima ni ulinzi

Usiruhusu itikadi Yako ikufanye kukosa adabu. Usimtukane RAIS wa nchi.
Hekima ni ulinzi"- Apostle Fadhili Kemuel
Anatokea dhehebu linaloeleweka au ndio yake makanisa ya mchongo ambayo mchungaji anatembea nayo kwenye briefcase ?
 
Ukishajua visentesi viwilli vitatu vya kingereza basi hii nchi iko ICU kwa wachungaji hawa mbona neno haki hawalitaki kulitamka
 
Hekima ni ulinzi Usiruhusu itikadi Yako ikufanye kukosa adabu. Usimtukane RAIS wa nchi. Hekima ni ulinzi"- Apostle Fadhili Kemuel

Kweli kabisa yani. Pambana kwa hoja , matusi hayafai. Kwa Sasa Taifa Lina vijana hawana aibu kabisa. Matusi yanatukanwa hovyo haswa mijini. Viongozi wa dini na serikali yenyewe inatakiwa ilikemee hili na kuwapa mafunzo hao vijana
 
Eti huyu nae anapelekewa fungu la kumi! hiiiiii...!!
 
Back
Top Bottom