App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

Yohimbe bark

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
2,160
Reaction score
5,728
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
 
Ikiwa unataka na jina la kampuni yako litokee basi fuatilia uzi wanguu huu niliandika humu kwa ajili ya marketing karibu nikuhudumie..
 
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Multi SMS Sender, una feed number kwenye excel then single click ina push kwa hao wateja au tumia next SMS
 
Attachments

  • Screenshot_20241113-194309_Google Play Store.jpg
    Screenshot_20241113-194309_Google Play Store.jpg
    254.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom