Hongera.Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako
Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
View attachment 3381229
Alikwambia ni haina ipi ya Chakula?Ila nakupongeza ila BINAFSI naamini kufuga kwa asili wajilishe wenyewe tena kuna mzee alinambia weka gunia la chakula mahalo na maji wao wanaenda kudonoa pale mpk liishe