Mi nimiona tuu link siingii maana najua siwezi pata kitu na hiyo browser binafsi imenishinda ina makorokoro mengi mnoToka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.
Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.
Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Nilifikiri ni mimi tu napata shida hii, nikadhani ni kwa vile mimi ni mzee niliyepitwa na wakati - kumbe ni shida ya wengi!Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]
Kiufupi ni sote tunaotumia app kwa cmNilifikiri ni mimi tu napata shida hii, nikadhani ni kwa vile mimi ni mzee niliyepitwa na wakati - kumbe ni shida ya wengi!
Shida ya browser wameweka font kubwa zinakula space bure tu... then comment 10 tu page ishajaa inabidi uhamie next page.Komaa na browser ni tamu sana . Hakuna cha kupoteza
Hakuna cha ajabu kule, nilidhani itakuwa user friendly lakini hakuna maajabu. Nishaondoa kwenye simu yangu.Sijawahi kufurahia app.
Nipo na browser na napata ladha zote.....kwan nn kinachokuweka huko kwenye app tukushauri?
πππ kumbe haya maumivu tulikuwa nayo wengi eh? Tena unakuta ni kavideo ka umbea flani hivi wa kuzugia, inaumaje kuikosa?Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£App ya JF imelalamikiwa miaka nenda rudi haifanyiwi marekebisho yoyote (DHARAU KWA WATEJA)
BADO NAENDELEA KUAMINI KITU PEKEE AMBACHO MTANZANIA ANAWEZA KUFANYA KWA UFASAHA NI KUPULIZA MAPUTO NA YAKAJAA, BASI.
Yaani wewe unadhani hilo tatizo dogo? Embu fikiria zile enzi za JUKWAA PENDWA, ndo unataka kufungua uone mchele laivu ndo inaleta habari za kucopy link, inakera kiukweliUkiacha kutofungua attachments sijaona tatizo lingine.