App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Mi nimiona tuu link siingii maana najua siwezi pata kitu na hiyo browser binafsi imenishinda ina makorokoro mengi mno
 
Toka nilipoanza kutumia JF app sijapata ladha halisi ya JF, bora nirudi kwenye browser tu.

Ukifungua attachments hazifunguki, sasa natumia app ya kazi gani? Nadhani mjipange na kutuletea app inayoeleweka.
Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]
 
Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]
Nilifikiri ni mimi tu napata shida hii, nikadhani ni kwa vile mimi ni mzee niliyepitwa na wakati - kumbe ni shida ya wengi!
 
Komaa na browser ni tamu sana . Hakuna cha kupoteza
Shida ya browser wameweka font kubwa zinakula space bure tu... then comment 10 tu page ishajaa inabidi uhamie next page.
Kingine wameweka vikorombwezo vingi vinaboa.
 
Sijawahi kufurahia app.
Nipo na browser na napata ladha zote.....kwan nn kinachokuweka huko kwenye app tukushauri?
Hakuna cha ajabu kule, nilidhani itakuwa user friendly lakini hakuna maajabu. Nishaondoa kwenye simu yangu.
 
Na hakuna kinachouma kama unavonyeza link uone ni kitu gani ukibofya tuu inakuketea menu ja jf[emoji11][emoji21]
😂😂😂 kumbe haya maumivu tulikuwa nayo wengi eh? Tena unakuta ni kavideo ka umbea flani hivi wa kuzugia, inaumaje kuikosa?
 
App ya JF imelalamikiwa miaka nenda rudi haifanyiwi marekebisho yoyote (DHARAU KWA WATEJA)

BADO NAENDELEA KUAMINI KITU PEKEE AMBACHO MTANZANIA ANAWEZA KUFANYA KWA UFASAHA NI KUPULIZA MAPUTO NA YAKAJAA, BASI.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukiacha kutofungua attachments sijaona tatizo lingine.
Yaani wewe unadhani hilo tatizo dogo? Embu fikiria zile enzi za JUKWAA PENDWA, ndo unataka kufungua uone mchele laivu ndo inaleta habari za kucopy link, inakera kiukweli
 
Mbna kwangu sioni sehemu ya install app?
Screenshot_20210831-200324.jpeg
 
kwenye pc natumia app ya android maana natumia bluestack ila nimejaribu kuinstal hjamii forum for pc window 10/8/7 imenipeleka kulekule kwa bluestack na haifany mkuu tunaomba tuwekee link hapa tyuingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom