App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Huyu bwana amemanisha kwamba hii App ya JF ya zaman niiondoe,then niingie chrome Ni download mpya au hii nilivyo nayo nii Apdate? samahani kwa usumbufu
Mkuu, kwa jinsi nilivyomuelewa ni kwamba ameboresha huduma ya JF ili izidi kuwa rahisi kutumia. Kwangu natumia iOS muonekano umebadilika kidgo Japo haitofautiani na ya zamani, sjajua kwa watumiaji wa Androids kwenu inaonekana vipi?
 
Back
Top Bottom