Jf Moderators app yangu hainipi notifications nimeifuta nimeweka upya bado ni vile vile
Hasa kwenye Zile nilizo subscription sipati kabisa
 
Salaam.
Kwa mwenye kujua tatizo hili naomba anieleweshe, mimi natumia jamii forum app, lakini Kuna tatizo la kutokufunguka kwa picha, unafanyaje kutatua changamoto hii?.
Hilo naona ni tatizo la kudumu JF inazidiwa na app ya Mange kimambi.
 
Changamoto iliyopo kwasasa ni kuwa sipati notifications kabisa, hata niki set on notifications Alert au niki update JF App
 
Hilo naona ni tatizo la kudumu JF inazidiwa na app ya Mange kimambi.
Huyu jamaa kachokonoa hii app hadi imekua yakisoro.ile ladha yote imeondoka na hawarekebishi makusudi.JF ilikua zamani siku hizi hakuna kitu.
 
Hii App au Android App?

Kama ni hii, iondoe na iweke tena utaona kila kitu kiko sorted na hata some minor changes
mkuu nimekusikiliza leo katika mahojiano yako na BBC 14-9-2023 juu ya akili bandia .nafikiri unahaja ya kutufungua akili juu ya hili jambo
 
Hii App au Android App?

Kama ni hii, iondoe na iweke tena utaona kila kitu kiko sorted na hata some minor changes
Kwanini app hairusu kutumia fonts ambazo sawa sawa na unayotumia kwenye simu? App ya awali niliyokuwa naitumia ilikuwa inaenda sawa sawa na fonts yangu ya kwenye simu ila tokea ni update imekuwa haipo tena hivyo.
 
Hii App au Android App?

Kama ni hii, iondoe na iweke tena utaona kila kitu kiko sorted na hata some minor changes
Boss kama hii JF app hamtaki kuiboresha basi itoeni kabisa isifanye kazi. This app is messing up too much!!

Mara ya kwanza ilikua haifungui picha lakn saiz haifungui pic, hailet notifications na kibaya zaid ukiscroll down haitaki. Yan mfano thread ina comments 100, ukifika comment ya 45 ukiscroll inagoma inakua inarudia ile ile comment ya 45.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Max hii sio App ni kuperuzi JF kutumia browser..........Sio user friendly

Naamini JF ni taasisi kubwa haiwezi kushindwa ku ran App kiufanisi kama akina Mange kimambi, Milard Ayo app nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…