App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Habari ndugu moderators. Naombeni mnisaidie jambo hili linanisumbua sana. Kwanza nashukuru kwa kuwa verified member, ila verification yangu imekuja na changamoto.

Changamoto yangu ni kwamba, mimi huwa napenda kutumia app hii inayopatikana play store. Ila tangu niwe verified, hii app haipokei notifications kabisa. Notifications ni hadi ni login kwa web, au ni download ile app inayopatikana baada ya ku login kwa web. Tatizo langu, hio app ya kwenye web mimi inanishinda kuitumia kwa sababu ya font yake ni ndogo sana mimi macho yanashida.

Naombeni msaada wenu nataka kuendelea kutumia hii app ya play store.

Hapa chini ni picha za app ninayoitumia na tarehe ya mwisho kupokea notification
Screenshot_20231026-231805_One%20UI%20Home.jpg
View attachment 2794111
 
Kuna thread kule jukwaa la michezo zinasumbua kufunguka Hadi utumie browser, hasa zile za timu za ulaya.
 
Boss kama hii JF app hamtaki kuiboresha basi itoeni kabisa isifanye kazi. This app is messing up too much!!

Mara ya kwanza ilikua haifungui picha lakn saiz haifungui pic, hailet notifications na kibaya zaid ukiscroll down haitaki. Yan mfano thread ina comments 100, ukifika comment ya 45 ukiscroll inagoma inakua inarudia ile ile comment ya 45.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi pia nakutana na changamoto hizi
 
App yenu ina bugs za kutosha tu. Mlifikiria nini kutengeneza app kama hii kwa kutumia php? Hiyo sio language Inayo weza kumaintain functionality zote hizi. Nawashauri mfanye redesigning tumieni Flutter au react native.

App mpaka saivi haioneshi pics
App haitoi notifications
Baadhi ya threads hazifinguki.
 
Jamaa wamekuwa wazembe sana. Na Max amekausha utadhani haoni hizi nyuzi za complain.
 
Browser mpya waliyokuja nayo siifurahii hata kidogo. Nimeamua kubaki na app ya zamani hata kama ina mapungufu lakini sio kwemda kwenye hiyo browse waliyoipa jina la app mpya.
 
App yenu ina bugs za kutosha tu. Mlifikiria nini kutengeneza app kama hii kwa kutumia php? Hiyo sio language Inayo weza kumaintain functionality zote hizi. Nawashauri mfanye redesigning tumieni Flutter au react native.

App mpaka saivi haioneshi pics
App haitoi notifications
Baadhi ya threads hazifinguki.
Kwa kweli, tunashindwa kufurahia vizuri kutumia JamiiForums. Kero hizi zifanyiwe kazi Maxence Melo
 
Watumiaji wa app tunaonana na kero nyingi sana na bado hazifanyiwi kazi. Moja kero ni app haipokei notifications na picha hazifunguki na mmekaa kikya tu.
Pia ukija kweny browser mambo ya next kwenda page inayofuata imekaa kiboya sana. Hata sijh moderator mnafanya nn???
 
Browser mpya waliyokuja nayo siifurahii hata kidogo. Nimeamua kubaki na app ya zamani hata kama ina mapungufu lakini sio kwemda kwenye hiyo browse waliyoipa jina la app mpya.
Naiomba hiyo app ya zamani, nitumie links tafadhari, hii mpya inakera na kuboa,
[emoji120][emoji120] tafadhari nitumie links ya hiyo app, nitumie PM
 
Nimekua naingia jf mara chache na soon nitaacha kabisa...
Picha hazifunguki,
Nyuzi zingine hazifunguki,
App wakati mwingi haifunguki,
Uki scroll down nyuzi zinajirudia,
Ukifika page namba flani uki-scroll haipandi...

Changamoto lukuki..max anapotezea kama haoni na ni tatizo sugu la mda mrefu.
 
Jf ilikua zamani siku hizi hakuna kitu.utaalamu umezidi hadi wameharibu.Itakua wameamua ijifie kifo cha asili taratibu kwasababu ata ule ugreat thinker ulishakufa kifo cha mende sasa hivi ni mataputapu tu.mtu akikirupuka uko na utindio wake wa ubongo anakuja kupost vingine ata havieleweki.
 
Habari ndugu moderators. Naombeni mnisaidie jambo hili linanisumbua sana. Kwanza nashukuru kwa kuwa verified member, ila verification yangu imekuja na changamoto.

Changamoto yangu ni kwamba, mimi huwa napenda kutumia app hii inayopatikana play store. Ila tangu niwe verified, hii app haipokei notifications kabisa. Notifications ni hadi ni login kwa web, au ni download ile app inayopatikana baada ya ku login kwa web. Tatizo langu, hio app ya kwenye web mimi inanishinda kuitumia kwa sababu ya font yake ni ndogo sana mimi macho yanashida.

Naombeni msaada wenu nataka kuendelea kutumia hii app ya play store.

Hapa chini ni picha za app ninayoitumia na tarehe ya mwisho kupokea notification View attachment 2794112View attachment 2794111
Nilihisi ni kwangu tu..
 
Muonekano wa jamiiforum enzi ya freebasics utabaki kuwa bora zaidi
 
Watumiaji wa app tunaonana na kero nyingi sana na bado hazifanyiwi kazi. Moja kero ni app haipokei notifications na picha hazifunguki na mmekaa kikya tu.
Pia ukija kweny browser mambo ya next kwenda page inayofuata imekaa kiboya sana. Hata sijh moderator mnafanya nn???
Bora enzi za freebasics.. muonekano ulikua mzuri Sana ..
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Back
Top Bottom