mxrereco
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,906
- 3,986
Habari ndugu moderators. Naombeni mnisaidie jambo hili linanisumbua sana. Kwanza nashukuru kwa kuwa verified member, ila verification yangu imekuja na changamoto.
Changamoto yangu ni kwamba, mimi huwa napenda kutumia app hii inayopatikana play store. Ila tangu niwe verified, hii app haipokei notifications kabisa. Notifications ni hadi ni login kwa web, au ni download ile app inayopatikana baada ya ku login kwa web. Tatizo langu, hio app ya kwenye web mimi inanishinda kuitumia kwa sababu ya font yake ni ndogo sana mimi macho yanashida.
Naombeni msaada wenu nataka kuendelea kutumia hii app ya play store.
Hapa chini ni picha za app ninayoitumia na tarehe ya mwisho kupokea notification
View attachment 2794111