Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza.
Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa bando pia utulivu maana haihitaji mtandao uwe stebo sana hivo, maana niliuwa naweza kutumia mb300 hadi 400 kutazama mechi moja nzima ,
Sasa nina kama mwezi hivi inazingua kila nikiingia inafunguka sawa lakini chanel hazipo ipo moja tu ukiingia kweny all channels hamna wala sports hamna sasa naomba kuuliza ni kweny simu yangu tu au na kwenu iko hivi maana nashindwa kutumia unakuta nina mach nataka kutazama ninapokuwa nje ya home lakini nakwama,
Humu najua kuna maexpart wazoefu na wajuzi wa hizi kazi mnisaidie au labda kwa kuwa nilikuwa nafanya update kila mara au nikipata toleo la nyumba inaweza kuwa poa?!! Kuna ambaye iko poa aje pm nimpe namba anitumie WhatsApp hiyo app yake na mimi ni enjoy maisha!? Asanteni naomba kuwasilisha, Karibuni kwa michango yenu.