App ya Kikuu ni upuuzi mtupu

App ya Kikuu ni upuuzi mtupu

Hata hao Aliexpress wanachelewa kutma mzigo
Nimesubiria mzgo had nimechoka
Inategemea shipping agent uliyemtumia. Free shipping au seller's method of shipping,au china registered airmail small packete plus na njia nyingine za posta kutoka china zinachukua mda mrefu mzigo kufika. Kuanzia mwezi mmoja mpaka miwili na wakati mwingine zaidi.

Lakini njia nyingine kama Aliexpress standard shipping, DHL, Aliexpress premium shipping wapo fasta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom