Nobrain
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 248
- 699
Hello Guys, hope mko pouwa. Leo nimeamua niwaelekeze namna nyepesi ya kuficha SMS kwa wale wachepukaji ili usije kamatwa
Of course kuchepuka ni kubaya, lakini natambua kuna wanaochepuka kwa sababu maji yamewafika shingoni. SO MADA isiwe ndefu.
Kama wewe unatumia Android, Ingia playstore tafuta APP inaitwa Advanced Sms. Then install kisha Ipe permissions ya kuwa default App (maana yake, hii utatumia kuchatia sms za kawaida ambazo hazikuweki hatarini).
Then ingia tena playstore tafuta app inaitwa "Calculator pro+ - private sms" nitakuonesha katika Picha hapa chini.
Baada ya kudonload hizi zote. Ifungue calculator pro kwa mara ya Kwanza, itakupa maelekezo ya Kuanzisha PIN, baada ya hapo itakuomba namba yako ya Simu, so utachagua extension ya +255 kama uko bongo, the utaamdika namba yako. Baada ya hapo itakutumia Verification code kama WhatsApp (hii ni kwaajiri ya kuitumia App free, kama hutaki kuweka namba yako itabidi ulipie)
Baada ya hapo, itafunguka sehemu kama calculator ya kawaida utaingiza zile namba PIN zako, then itafunguka ndani.
UZURI WAKE: ni kuwa hata ikikupa notifications inakuwa haionekani kama meseji, na ukijaribu kuifungua hii notifications itafungukia google.
Maana yake ni wewe tu ndo utakayejua unatakiwa kwenda kwenye calculator., kusoma sms yako.
Jinsi ya kuficha namba zako huko, utaona kitufe cha +, hiki ukikibinyeza utaenda sehemu ya contacts, then utaad namba unayotaka ifichwe.
Lakini hakikisha isianze na 0, inatakiwa kuanza na +255 (kama uko bongo)
Baada ya hapo booooom. Good to go... huji kamatwa na Sms za mapenzi.
Lakini pia kuna WhatsApp inaitwa FMWhatsApp hii inaweza kukusaidia kuficha sms za WhatsApp pia. Mkitaka ntawaambia.View attachment 2344823View attachment 2344822