APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

Hivi mtu akishasoma idea Kuna haja gani ya kunnua Tena, idea anayo atakosa strategy kweli??
Cha kufanya ndan y io app ongeza hudum online freelancing hio ndo itakoyolipa.
Mfan mtu anatak kutengenezea ,tangazo, CV ,graphics basi anamtafuta desgner ambay kiji register wanafany biashara
 
Ndio maana nimeweka services and product. Kama una products unaweza kuuza au kama una services pia unaweza kuuza. Kuna jamaa alitoa intro ya business idea kama 50 lakin ku implement nadhani hadi uonane na jamaa akupe strategy, ni ngumu sana kwa upande wangu.
 
Unatoa wazo gani ili iongezeke braza
Endelea kuitangaza nimeidownload ila naona kama haujaidesign iwe specific kwa kuuza mawazo ya biashara

Halafu naona App developer wa Tanzania mnashindwa kabisa kuweka kwenye fikra zenu suala la memory management na mnataka Apps zenu ziingize mamilion soon tu baada ya kuwa uploaded play store & appstore;Hakuna haja subscriptions fee kwenye App changa kama hiyo amabayo haina hata website ya kuipromote
 
Asante kwa maoni
 
APP ya kuuza wazo la biashara ingefaa iwaje . Maoni yako ni muhimu sana kuboresha ili ifiti kwenye kusudio.
 
Habari wazawa !

Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata mimi nina mawazo mengi sana ya biashara ambayo sidhan kama nitaweza kuyatimiza yote , nimeona na mimi nijipe fursa ya kuuza wazo la biashara kwenye app niliyoitengeneza mwenyewe kwa lengo la kusaidia watu kurahisia kupata wazo la biashara kwa rahisi na kutoa ajira kwa wenye mawazo ya biashara au watu wenye kufanya tafiti za biashara mbalimbali nao wajiajiri kupitia app.

APP haitajihurisha moja kwa moja kutoa huduma ya kuuza wazo la biashara la mtu bali APP ipo kutangaza wazo lako kwa watu wenye uhitaji wa wazo la biashara husika. APP itampa mtoa wazo la biashara kuweka tangazo lake kwenye APP kama gulio watu wanashindana bei ya wazo la biashara.

Kwa wale wanaosoma sana vitabu vya biashara kama mimi nadhani tunachuana kwenye APP kwa kutafuta 4 star kutoka kwa wateja wa wazo la biashara walionunua na kuleta mrejesho kwa watu wengine. Ili litaleta hamasa ya kutafuta wazo bora la biashara na kuuza kwa bei kubwa na kubadilisha maisha yako kwa kupata mtaji wa biashara ya ndoto yako.

APP itakupa siku 30 kupost FEATURES ADS(PREMIUM ADS) bure, kwa kutafuta wateja wa wazo la biashara kabla hujaanza kulipia kifurshi cha mwezi kutokana na chagua lako. Malipo yanafanika kwa kutumia credit card(master na visa card) kupitia google pay.

Kupata kadi kwa sasa ni rahisi sana sio hadi ufungue akaunti bank, kama una lain ya VODACOM imeisha, VODACOM wamerahisha sana kwenye ili la credit card(Mastercard), unaweka pesa kutoka kwenye mpesa kwenye mastercard mpesa chap bila makato. Pia unaweza fanya hivi ukiwa na AIRTEL MONEY.

Unaweka pesa yako ambayo unataka kulipia kwenye kifurushi cha mwezi kwenye kadi yako na kulipia, nimeamua kufanya kazi na google kwasababu ya uaminifu na sio matapeli. Google ni kampuni kubwa na inajulikana na watu wote.

Ukishaset kadi yako kwenye google pay inakuwa rahisi mwezi ujao kulipia , kazi kwako ni kuweka pesa kwenye kadi yako ambao unatakiwa kulipa kutokana na kifurushi ulichochangua.

Nadhani kwa APP hii itakusaidia kupata pesa kwa kuuza wazo la biashara , na wazo la biashara kama mtu kalipenda anakutafuta kwa kukupigia simu na mnaonana na kumalizana mwenyewe, APP tena haihusiki.

***************************************************

Unachotakiwa kufanya kwa sasa ni kuandaa wazo la biashara pamoja na KAVA la wazo la bishara mfano Education unaweka kava la shule na wanafunzi ili mteja aone uhalisia wa title na kava. Usisahu kuweka namba ya simu kama utatumia kujisajili kwa facebook button. Ukisha jisajili nenda kwenye profile weka namba ya simu ukianza na +255/+254 , ili mteja aweza kukupigia kutoka kwenye tangazo lako.

Unaweza kushare tangazo lako la wazo la biashara kwenye social media ili kupata wateja fasta zaidi na kuona kazi zako zingine kwa wingi zaidi.

"Jeuza uandishi wa wazo la biashara kuwa biashara yako ya kudumu au part time kwa waajiriwa".

APP inaitwa "bango" iko playstore kwa sasa, unaweza ukapakua na kuanza kuweka kazi zako kwenye app. Weka kava la wazo la biashara usisahau.

Ukitaka kujua kifurushi chako kinaisha lini baada ya kujisajil nenda kwenye profile yako utaona. Kama umejisajili leo kifurushi chako kitaisha january 22, 2021.

Kazi kwako...

"Profit is better than wages, if you know that , you will change your life forever"
Haya ndiyo madini yanayotakiwa kwa karne hiz,BIG UP.
 
Utakesha, hauna biashara mpya tena.
 
Back
Top Bottom