APP ya kununua na kuuza wazo la biashara!

Hivi mtu akishasoma idea Kuna haja gani ya kunnua Tena, idea anayo atakosa strategy kweli??
Cha kufanya ndan y io app ongeza hudum online freelancing hio ndo itakoyolipa.
Mfan mtu anatak kutengenezea ,tangazo, CV ,graphics basi anamtafuta desgner ambay kiji register wanafany biashara
 

Ndio maana nimeweka services and product. Kama una products unaweza kuuza au kama una services pia unaweza kuuza. Kuna jamaa alitoa intro ya business idea kama 50 lakin ku implement nadhani hadi uonane na jamaa akupe strategy, ni ngumu sana kwa upande wangu.
 
Unatoa wazo gani ili iongezeke braza
Endelea kuitangaza nimeidownload ila naona kama haujaidesign iwe specific kwa kuuza mawazo ya biashara

Halafu naona App developer wa Tanzania mnashindwa kabisa kuweka kwenye fikra zenu suala la memory management na mnataka Apps zenu ziingize mamilion soon tu baada ya kuwa uploaded play store & appstore;Hakuna haja subscriptions fee kwenye App changa kama hiyo amabayo haina hata website ya kuipromote
 
Asante kwa maoni
 
APP ya kuuza wazo la biashara ingefaa iwaje . Maoni yako ni muhimu sana kuboresha ili ifiti kwenye kusudio.
 
Haya ndiyo madini yanayotakiwa kwa karne hiz,BIG UP.
 
Utakesha, hauna biashara mpya tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…