chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao.
Hii App ya Simba tulitarajia mengi mfano ukilinganisha na app za club nyingine app zao unaweza kuwa mwananchama wa kielectronic, ukapata offer ya tiketi, kushauri na kushiriki mijadala hata habari kuzipata kwa wakati kila muda. Ila kwa app ya Simba hakuna la maana yani habari zinachelewa kwa wakati.
App ya Simba badilikeni mjifunze kwa wenzenu ili mtu ukitoa pesa kulipia app ujue inakwenda sambamba na pesa yetu.