Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Nn bimama? Naona leo hazipatikan mitandaoni huku
Nn bimama? Naona leo hazipatikan mitandaoni huku
Wale jamaa wana ukatili ndani yao kwa asilimia flaniNikiwakumbuka tala sina hamu kabisa.
Huyo jamaa ako ndo weweWale jamaa wana ukatili ndani yao kwa asilimia flani
Kuna jamaa angu alikopa kama laki na nusu bhana, weeh si akaanza kutumiwa texts kwamba mkuu wao ni freemason wa nigeria huko ukieendelea kujifanya mgumu hutaki kurudisha hizo hela tutaanza na ndugu zako hadi wewe apo.......
Binafsi niliogopa kinomaa daaah
Sio mimi mkuu 😂😂😂😂Huyo jamaa ako ndo wewe
Wapo ila inaomekana wamezuiwa. Yani app zote kule playstore hazisomiWashafilisika kudadeki alaaaa
Hadi tala? Mbona nasikia wale hawana nomaNikiwakumbuka tala sina hamu kabisa.
Sasa mm nina dem anataka kuja geto na sina hela ya matanuzi leo nifanyeje? Waniue tuUnaweza ukawalaumu serikali kumbe umechokwa na wakopeshaji
Sura nzur itakusaidia nn? Kama unanipa nipe tu mambo ya sura tuvumilianeWanaume wapenda mikopo wanakuwaga na masura mabaya
Kin nani hao wanakopesha laki na nusu mkuu? Mm nikikopag elfu 6 tu kilitibuka kivumbi mzee mpaka app nikafuta.Wale jamaa wana ukatili ndani yao kwa asilimia flani
Kuna jamaa angu alikopa kama laki na nusu bhana, weeh si akaanza kutumiwa texts kwamba mkuu wao ni freemason wa nigeria huko ukieendelea kujifanya mgumu hutaki kurudisha hizo hela tutaanza na ndugu zako hadi wewe apo.......
Binafsi niliogopa kinomaa daaah
Hizo App zilikuwa zinatakatisha PESA so Kazi imeishaSasa mm nina dem anataka kuja geto na sina hela ya matanuzi leo nifanyeje? Waniue tu
Wana balaa mzee yani unakopa elfu 19 unalipa elf 30Kausha damu hao
Daaah aiseee si mchezo kuna ile inaitwaga branch na tala wale jamaa wabaya sana kwakweliKin nani hao wanakopesha laki na nusu mkuu? Mm nikikopag elfu 6 tu kilitibuka kivumbi mzee mpaka app nikafuta.
Simu inapigwa kwa ndugu ujisalimishe kituo cha polisi kilicho karibu na wewe