Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Acha nibaki na songesha tu, Hawa ndio nawamudu. Hao wengine sina mpango nao.Jichanganye uone.nchi zingine watu wamejiua balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha nibaki na songesha tu, Hawa ndio nawamudu. Hao wengine sina mpango nao.Jichanganye uone.nchi zingine watu wamejiua balaa
Sio usivopenda, toa access kotee, lakin wanacheza na call history zaidiNenda settings, iondolee ruhusa ya ku-access vitu usivyopenda ipate kwenye simu yako.
Piga blockHao hata uki unstall bado wana access mawasiliano yako!
Kwanini ulikopa mikopo kichefuchefu? Bora ungehazima kwa mtu wako wa karibu kuliko kufedheheshwa!Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba za mawasiliano na phonebook ya mteja wao.
View attachment 2872358
WEeeee 😂😂Xpesa? Mbona wanatangaza riba asilimia 0.5?
Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba kujua je wapo sahihi kudukua namba za mawasiliano na phonebook ya mteja wao.
Mkuu ushayasikia matangazo yao?Wakati unakopa, ulikubaliana na ‘Terms and Comditions’ zao?
Hawa nili kopa waka nipa 80k wali nitafuata waka choka wao ..hamna sehemu wata kupeleka wala hawana cha kukufanyaNaomba kujua kama kuna aliyewahi kupata mkopo kupitia Pesa X.
Naona kama wanakusanya taarifa zetu, wanapoomba vitambulisho, namba za Mawasiliano halafu mwisho wa siku hupati mkopo.
Mamlaka zinataarifa na hizo app!?
View attachment 2874286
Unaandika ujumbe kujulisha ndugu jamaa na marafiki wapuuze ujumbe unaotumwa na matapeli wa mtandaoniHawa wanachofanya ni udhalilishaji
View attachment 2896171
Teh teh teh nitawapa kazi wamuedit BashiteWanaedit picha zako wanatengeneza video ya ngono wanatuma kwa contacts zako zote
Wahindi wanajiua mno
Unapigwa miti vibaya kwenye hyo video uwe me uwe ke
Ohooo