Tuna furaha kutangaza uuzaji wa nyumba ya kupangisha ambayo bado haijakamilika. Nyumba hii ipo katika eneo la mbezi mwisho msakuzi.
Nyumba ni mjumuisho wa apartment mbili ambazo kila moja ina sebule,vyumba viwili vya kulala,jiko na choo.
inauzwa milioni 60 za kitanzania.
Kwa maelezo zaidi na kuweka miadi ya kutembelea nyumba tafadhali wasiliana nasi kupitia Namba ya Simuππππ+255 788 336 146π. Hii ni fursa ya kipekee ya kuwekeza katika biashara ya real estate inayokuwa kwa kasi ndani ya jiji la dar es salaam . Karibu!"
View attachment 2913188