hatedthemost
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 469
- 324
Naona bado hawajafungua mkuuHabarini wapendwa.
Ambaye amefanikiwa kufanya mchakato wa kukata rufaa ya bodi ya mikopo jamani atushirikishe.
Hali ikoje huko
Uache kuparamia vitu.Ushirikishwe tena badala ya kukata rufaa? Kwa hiyo unasubiri dirisha lifungwe ili uje kulialia hapa. Unapolia shika kichwa chako usishike cha mwenzako.
Tumedanganywa[emoji24][emoji24]Hata mm naona sjui shida n nn bado maelekezo
Tuko tu hapaYaaan naangalia kwenye account wameandka watafungua kuanzia tarehe 8 lkn Sion chochote
Wamefungua nenda kwenye option ya appealYaaan naangalia kwenye account wameandka watafungua kuanzia tarehe 8 lkn Sion chochote
Wengine hicho kitufe cha appeal hakipo kwenye akaunti ya SIPA.Pale kwenye vile vipengele vya mkopo chini Pana option ya appeal. Unabonyeza pale halafu anajazaView attachment 2808115
Na mimi kwangu ni hivo hivo mkuu labda itabadilika baadae.Wengine hicho kitufe cha appeal hakipo kwenye akaunti ya SIPA.
Nikibonyeza kwenye akaunti ya application pale kwenye click to appeal hakileti response yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji174][emoji174]Na mimi kwangu ni hivo hivo mkuu labda itabadilika baadae.
Au kwako imekaa vipi mkuu[emoji174][emoji174]
Jaribu kuingilia browser nyingine inakubali kuleta kitufe cha appeal kwenye SIPA.Na mimi kwangu ni hivo hivo mkuu labda itabadilika baadae.
Umefanikiwa ku download fomu ya appeal?Pale kwenye vile vipengele vya mkopo chini Pana option ya appeal. Unabonyeza pale halafu anajazaView attachment 2808115
Tunahitaji kuattach barua?Mimi sijaelewa please msaadaUmefanikiwa ku download fomu ya appeal?
Mimi kila nikijaribu ku download inaniandikia download failed.
Au barua ya appeal unaandika tu mwenyewe then unaipeleka serikali ya mtaa kwa ajili ya utambulisho na muhuri?
Sent using Jamii Forums mobile app