Nicorandil
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 258
- 749
Hii vita imefika tamati.Hongera zao wengine bado tumeandikiwa tusubiri 8 November rufaa hahaha
Mungu hatimaye kajalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii vita imefika tamati.Hongera zao wengine bado tumeandikiwa tusubiri 8 November rufaa hahaha
Hongera sana [emoji20]Hii vita imefika tamati.
Mungu hatimaye kajalia.
Kama mkata rufaa hajafanikiwa kuwashawishi bodi kumpa mkopo, bodi inashindwa nini kumtaarifu kuwa kakosa kuliko kuendelea kumtesa kwa kumwachia limeseji kwamba dirisha la rufaa litafunguliwa tarehe 8 November?Hongera zao wengine bado tumeandikiwa tusubiri 8 November rufaa hahaha
Hahaha serikali sikivu bwana.Kama mkata rufaa hajafanikiwa kuwashawishi bodi kumpa mkopo, bodi inashindwa nini kumtaarifu kuwa kakosa kuliko kuendelea kumtesa kwa kumwachia limeseji kwamba dirisha la rufaa litafunguliwa tarehe 8 November?
Wamepata baadhi naona wanaingiza kwa batch maana mpaka leo baadhi wamewekewa allocationHiyo kesho si ingekuwa leo au kesho ipi?
Yaani hapo inaonesha umepata meal & accommodation pekee ada ya chuo wamekunyimaA, alaykum samahani naomba kuuliza hivi ukiekewa hivi ina maana gani
Hapana....,kinacho onekana hapo ni malipo yake yaliyo thibitishwa ambayo atayapata muda c mrefu...!Bodi wanaanzaga na meals and accommodation na fees huwa ni baadae.Yaani hapo inaonesha umepata meal & accommodation pekee ada ya chuo wamekunyima