Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Hongera zao wengine bado tumeandikiwa tusubiri 8 November rufaa hahaha
Kama mkata rufaa hajafanikiwa kuwashawishi bodi kumpa mkopo, bodi inashindwa nini kumtaarifu kuwa kakosa kuliko kuendelea kumtesa kwa kumwachia limeseji kwamba dirisha la rufaa litafunguliwa tarehe 8 November?
 
Hahaha serikali sikivu bwana.
Hakuna shida
 
A, alaykum samahani naomba kuuliza hivi ukiekewa hivi ina maana gani
 
Attachments

  • Screenshot_20231207-185811_1.jpg
    Screenshot_20231207-185811_1.jpg
    18.9 KB · Views: 9
Back
Top Bottom