Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Pale kwenye vile vipengele vya mkopo chini Pana option ya appeal. Unabonyeza pale halafu anajaza
IMG-20231108-WA0011.jpg
 
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinacho husu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali msaada plz,
 
Tatizo nikiweka verification numbers ya birth certificate niliyotumia kuombea mkopo inakataa. Inasema niingize valid verification number.

Je, ni kwamba natakiwa ku verify cheti kwa mara ya pili tofauti na ile niliyotumia kuombea mkopo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale kwenye vile vipengele vya mkopo chini Pana option ya appeal. Unabonyeza pale halafu anajazaView attachment 2808115
Umefanikiwa ku download fomu ya appeal?

Mimi kila nikijaribu ku download inaniandikia download failed.

Au barua ya appeal unaandika tu mwenyewe then unaipeleka serikali ya mtaa kwa ajili ya utambulisho na muhuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom