Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

Hivi ni kweli kwamba walisema wangetoa majibu ya appeals Alhamis iliyopita? The statement that the appeal results would be out last Thursday perhaps was just a misconstruation of what was said by the HESLB's CEO.
Sina hakika sana na hiyo statement ya alhamisi ila ninacho fahamu ni kwamba wakitoa ni lazima waambie umma wangapi wamenufaika na kiasi gani kimetolewa kumbuka hizo public funds lazima zielezewe
 
Vumilieni wakuu huenda wakatoa kama wanavyodai
 
Kwa wote walio appeal majibu yatatoka kesho.
 
Nauliza hivi Heslb walisema majibu ya Ku appeal yatatoka before dec 2,naleo ni tar 2 bado kimya duh hatari tupu,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…