Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

natumia compyuta asee ila badoo. na internet ni nzuri tu, na nimetumia responsive browser (chrome). sijui hata natatua vp na mda unaisha tu
Maybe you are right. Ila mimi ilimkuta dogo mmoja wakati ana-apply; na alikuwa anatumia PC hivyohivyo. System ilikuwa ina-load kwenye guarantor kwa siku 3 na deadline ilikuwa inakaribia. Ikabidi aende Cafe; ikakubali instantly
 
si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
 
Ooh kumbe, sikuwa najua kama deadline ni leo. Endelea kujaribu
 
si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
Procrastination ni mbaya. Jambo la muhimu kama hili unalishughulikia mapema na siyo kusubiri siku ya deadline mkuu. Pole na natumaini ulifanikiwa!
 
Kwann idad ya waliokosa mkopo weng ni ambao wamesoma private schools ? Na serikal iliongeza hela ilimrad kila mtu apate !!
 
Uwa nashindwa kujua logic ya kutumia kusoma private schools kwa mwanachuo kama kigezo cha kumnyima mkopo. What if kama kwa sasa mambo yamebadilika na waliokuwa wanamlipia huko nyuma hawana tena uwezo wa kumlipia?
 
Vipi wadau,,kwa wale walio appeal vipi majibu huko maana naona mchakato unakua mgumu tuh,,?
 
Back
Top Bottom