Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.

NB: Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.

Attachments

  • images (31).jpeg
    images (31).jpeg
    35.5 KB · Views: 38
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.
Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.

Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?

Huyu ni Authorised dealer wa Tz, ukiwa na swali karibu inbox.

Nakusaidia kukupata details, hapo ni quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upanga
IMG_6672.png

View attachment 2407603
 
Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?

Nakusaidia kukupata details, hapo no quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
Of course Elite computers hawa wahindi toka kitambo ni authorized dealers wa apple

Premium authorised resellers bongo wapo kama watano ivi
 
Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?

Huyu ni Authorised dealer wa Tz, ukiwa na swali karibu inbox.

Nakusaidia kukupata details, hapo ni quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
View attachment 2407603

Tatizo bei za hawa Elite Computers na Apple Store ya Mlimani City zinakuwa kubwa sana na unrealistic. Hiyo ndiyo hoja ya mleta mada. Bora kuagiza kupitia eBay kama ni accessories. Kwa Macbook, Iphone., Apple Watch, Imac, etc, unaweza nunua kwa bei ya chini ukiwa na contacts hata kupitia instagram.
 
Tatizo bei za hawa Elite Computers na Apple Store ya Mlimani City zinakuwa kubwa sana na unrealistic. Hiyo ndiyo hoja ya mleta mada. Bora kuagiza kupitia eBay.

Hapana
Soma alichoandika amesema apple hawana dealer tz, issue ya bei ni kweli bei zao sio za makumbusho! Ni sawa na ukanunue nissan yard kinondoni vs DT Dobie.

Halisi ni gharama, simply cheap is expensive! Unajua iphone 7 plus 128Gb ilikua inauzwa 2.5m ilipoingia[emoji3] issue ni wapi na how Genuine ipo.
 
Hao Elite Computers na Apple Store ni authorized resellers. Tatizo bei. Wahindi ndivyo wanakuwa na us.enge huu wa bei za ajabu.
 
Back
Top Bottom