Magomeni?Kuna wahuni wako magomeni wanajiita dealer wameweka na list ya clients wao nimeenda nawaambia nipeni 13 pro max (way back) wakaanza oh tukalete hazikai hapa, kumbe mbuzi tuuu kanjanja![emoji3][emoji3][emoji3]
iPhone ?
Hata utapeli hawaujui. Wangefungua duka Masaki au posta kidoogo wangeeleweka.
Kesho wanaweza kufungua tawi Mbagala au chalinze.