Apple hawana Wakala/Store Tanzania

Kuna wahuni wako magomeni wanajiita dealer wameweka na list ya clients wao nimeenda nawaambia nipeni 13 pro max (way back) wakaanza oh tukalete hazikai hapa, kumbe mbuzi tuuu kanjanja![emoji3][emoji3][emoji3]
Magomeni?
iPhone ?
Hata utapeli hawaujui. Wangefungua duka Masaki au posta kidoogo wangeeleweka.
Kesho wanaweza kufungua tawi Mbagala au chalinze.
 
Magumashi
 
Ni za soko la dubai ila kiukweli tuna uchumi wa kati.ukitaka kujua bongo tuko juu we angalia matumizi yetu tukiambiwa tupige kura za mitandaoni.
Ila apple anaturingia sana na sisi hatuachi kujikomba mazima.
 
Kuna wahuni wako magomeni wanajiita dealer wameweka na list ya clients wao nimeenda nawaambia nipeni 13 pro max (way back) wakaanza oh tukalete hazikai hapa, kumbe mbuzi tuuu kanjanja![emoji3][emoji3][emoji3]
Daah umemsema MacBook, dogo ni anko wangu Yule anapambana Sana tuwasapoti wabongo wenzetu , mitaji changamoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…